Tuesday, February 9, 2010

Maswali kutoka Michelle

Unafikirije kuhusu filamu ya wiki iliopita?

Unafikiri O'prah inaonyesha maisha ya watajiri wa Tanzania kwa namna
halisi, au la?

Mpaka sasa, unapendelea O'prah au Alfred? Au mtu mwingine? Kwa nini?

Hatujakamilisha filamu, ikiwa unahitaji kubashiri mwisho, unafikiri
nini itaendelea?